Muziki Ni Dawa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Muziki Ni Dawa - Ringtone
...
MUZIKI NI DAWA LYRICS BY P-TAH BLESSED
Asante kwa muziki,
asante Mungu kwa ngoma
Hebu wewe ona
vile watu wako wanapona
Asante kwa muziki,
asante Mungu kwa ngoma
Hebu wewe ona
vile watu wako wanapona
Muziki ni dawa,
ukisikiza utakuwa sawa
Muziki ni dawa,
ndio maana mimi naimba
Muziki ni dawa,
ukisikiza utakuwa sawa
Muziki ni dawa,
ndio maana mimi naimba
verse 1
Shida zinanionea,
maisha ni kuvumilia
Mimi nang’angana
ili (…) I’m working hard
Mwili waanza kuuma
kichwa kinaniuma
Mgongo unauma,
madawa nanywa siponi
Nasikia muziki kwa redio,
mwili wangu unapoa
Swali munijibu: huu muziki una nini.
Asante kwa muziki,
asante Mungu kwa ngoma
Hebu wewe ona
vile watu wako wanapona
Asante kwa muziki,
asante Mungu kwa ngoma
Hebu wewe ona
vile watu wako wanapona
Muziki ni dawa,
ukisikiza utakuwa sawa
Muziki ni dawa,
ndio maana mimi naimba
Muziki ni dawa,
ukisikiza utakuwa sawa
Muziki ni dawa,
ndio maana mimi naimba
verse 2
Nilikuwa nimepewa stori
ya mfalme mmoja
Kwa jina aliitwa Sauli,
alipagawa mwili
Kulikuwa na kijana mmoja,
kwa jina Daudi
Alikuwa ana talanta,
talanta kama mimi
Tofauti yangu mimi na yeye,
Ye alicheza zeze
Mfalme alipagawa,
watu wakashtuka
Madakitari waliitwa
tibu mfalme wakashindwa
Daudi alipocheza zeze,
mfalme akapona
Asante kwa muziki,
asante Mungu kwa ngoma
Hebu wewe ona
vile watu wako wanapona
Asante kwa muziki,
asante Mungu kwa ngoma
Hebu wewe ona
vile watu wako wanapona
Muziki ni dawa,
ukisikiza utakuwa sawa
Muziki ni dawa,
ndio maana mimi naimba
Muziki ni dawa,
ukisikiza utakuwa sawa
Muziki ni dawa,
ndio maana mimi naimba
Refrain