Tenda Wema ft. Christina Shusho Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Tenda Wema ft. Christina Shusho - Ringtone Apoko
...
lyric sync by Phellow Aduvaga 254790511905
tenda wema nenda zako wee
usisahau Mungu anaona
siku ya kukumbukwa ipo
yeye yeye yeye atakulipa
tenda wema nenda zako wee
usisahau Mungu anaona
siku ya kukumbukwa itafika
mayatima umesomesha sana
wenye shida umesaidia wote
wenye njaa umewapa chakula
nguo zako umepeana zote
hakuna anayetambua
haya ambayo umetenda kote
sasa naona inakupa worry
nakuomba wewe usijali
aliyekuita anaona yote
utabarikiwa nawe siku zote
tenda wema nenda zako wee
usisahau Mungu anaona
siku ya kukumbukwa ipo
yeye yeye yeye atakulipa
tenda wema nenda zako wee
usisahau Mungu anaona
siku ya kukumbukwa itafika
aliwaponya wagonjwa wao
Yesu huyo
akafufua wafu wao
Yesu huyo
mwisho wakamwita
pepo huyo oh oh ooooh
na tena wakamwita Belizebuli
wewe si wa kwanza
na hutakuwa wa mwisho
Yesu katukanwa sembuse mwanadamu uuuuuuh ah
tenda wema nenda zako wee
oooh usingoje shukurani wee
tenda wema nenda zako weee
oooh usingoje shukurani wee
tenda wema nenda zako wee
usisahau Mungu anaona
siku ya kukumbukwa ipo
yeye yeye yeye atakulipa
tenda wema nenda zako wee
usisahau Mungu anaona
siku ya kukumbukwa itafika
yeye yeye yeye atakulipa
utawasomesha wajue kizungu wakutusi
utawalisha washibe wakupige
wewe tenda mema tu
tenda wema nenda zako wee
usisahau Mungu anaona
siku ya kukumbukwa ipo
yeye yeye yeye atakulipa
tenda wema nenda zako wee
usisahau Mungu anaona
siku ya kukumbukwa itafika
yeye yeye yeye atakulipa
tenda wema nenda zako wee
usisahau Mungu anaona
siku ya kukumbukwa ipo
yeye yeye yeye atakulipa
tenda wema nenda zako wee
usisahau Mungu anaona
siku ya kukumbukwa itafika
yeye yeye yeye atakulipa
lyric sync by Phellow Aduvaga 254790511905