Nomination Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Nomination - Ringtone
...
tumepita nomination kwa uwezo
sasa tuna ruhusa ya kupeperusha bendera yake
tumepita nomination kwa uwezo
sasa tuna ruhusa ya kupeperusha bendera yake
shida unapitia hiyo nomination yako.
mateso unapitia hiyo nomination yako
Kwetu ukiulizia nakwambia utatuhurumia
Mateso tunapitia kila siku tukivumilia
sisi hatukufi moyo mapito tukipitia
maana tunajua Mungu wetu atatushindia
oooh oooh oooh utashinda
oooh oooh oooh oooh tumeshinda
oooh oooh oooh oooh utashinda
oooh oooh oooh tumeshinda
Chorus:
tumepita nomination kwa uwezo
sasa tuna ruhusa ya kupeperusha bendera yake
tumepita nomination kwa uwezo
sasa tuna ruhusa ya kupeperusha bendera yake