Nifungue Macho ft. Beatrice Mwaipaja Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
Nifungue Macho ft. Beatrice Mwaipaja - Martha Mwaipaja
...
Bwana tupe macho tuonee
wewe ni mchungaji mwema
tuongoze bwana
nifungue macho nionyeshe njia nishike mkono niongoze
nifungue macho nionyeshe njia nishike mkono niongoze
maana bila wee siwezi yaliyo mbele siyajui
iwe mchana au usiku yaliyo mbele siyajui
nifungue macho nifungue macho
nione sahihi mazuri ya utukufu wako
katika mateso ya magonjwa na misiba
nifungue nione utukufu wako
nifungue macho nionyeshe njia nishike mkono niongoze
nifungue macho nionyeshe njia nishike mkono niongoze
yeeeeeeeeeeesuuuu,
yesuuuu,
yesuuuu,
yesu nifungue macho babaa
kuna mengi yapo mbele siyajui
mengi yamefichika sijayaona
yesuu nipe macho nione yaliyosirini
nione yaliyo sirini
nisione matatizo niliyonayo
nisione hapa nilipo
nipe nione mbele ulioniandalia
nipe nione mbele ulioniandalia
nikiona matatizo tu sitafika
nikiona haya ya leo sitafika
nipe macho nione uzuri wako
nipe macho nione neema yako
nifungue macho nionyeshe njia, nishike mkono niongoze
nifungue macho nionyeshe njia, nishike mkono niongoze
nipe macho nione wapi nipite, kwa mkono ukinishika utaniongoza
nipe macho nione wapi niende, kwa mkono ukinishika nitafika
niongoze pema niongozee, niongize mema niongozee
mbele kuna maadui bila macho sitaona,
kuna mitego njiani bila wewe siwezi
nifungue macho nionyeshe njia, nishike mkono niongoze x4
eeeeeeeeeeeeeeeeeeeh