![Miamba Imepasuka](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/15/eaf5450e492742298354b8fa4ebf2297.jpg)
Miamba Imepasuka Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Miamba Imepasuka - Rose Muhando
...
lyric sync by Phellow aduvaga 254790511905
yaawaa!
aiyaaayayayaaayaaa
yeieeeeeeeeee
tuimbe eh
wewe ni Bwana
oh yeeeeeee mama wee
tuimbe eeeh
wewe ni Bwana
oh lalalalaa
tuimbe eh
wewe ni Bwana
glory
tuimbe eh
glory eeeeh
wewe ni Bwana
tuimbe eeh
wewe ni Bwana
*********
Eeh Mungu mbingu na zikusifu
watu na wakwimbie
dunia na iseme
wewe ni Bwana
wewe uliyemwangusha Dagoni
mungu wa Wafilisti
mwisho wake wakajua
wewe ni Bwana
uliyegawanya bahari
kwa mkono wa Musa
the big history
wewe ni Bwana
ah ulikomesha masimango
na kibari cha Farao
Wamisri wakasema
wewe ni Bwana
uliyesimamisha jua
kwa mkono wa Joshua
wenye akili wame-surrender
wewe umeweka rekodi
isiyoweza kuvunjwa
ndiyo maana tunasema
wewe ni Bwana
wacha nikuinue
wacha nikuabudu
Mungu kama wewe
weeewee eeeeeeeh!
wewe ni Mungu
wewe ni Bwana
Wewe ni Bwana
Tuimbe eh
wewe ni Bwana
hale he halelluya mwenye pumzi
amsifu Bwana
tuimbe eh
wewe ni Bwana
oh lalalala
oh lalalala
tuimbe eh
wewe ni Bwana
glory
tuimbe eh
glory eeeeh
wewe ni Bwana
eeeeeeeeeh
tuimbe eh
eeeeeeeeh
wewe ni Bwana
ni ya ajabu mambo yako Baba weee
yanatisha matendo yako Mungu wee!
ni ya ajabu mambo yako Baba wee
yanatisha matendo yako Mungu wee!
Sinai uliposhuka
miamba ilipasuka
mbingu zikatetemeka
wewe ni Bwana
wewe ni moto ulao
Mwamba uangushao
nani kama wewe
weeeeeeweeeeeee!
Wewe ni Bwana
wewe ni Bwana
wewe ni Bwana
tuimbe eh
wewe ni Bwana .
tuimbe eh
wewe ni Bwana
oh lalalala
oh lalalala
tuimbe eh
wewe ni Bwana
glory glory
tuimbe eh
glory eeeeeeeh
wewe ni Bwana
eeeeeeeeh
tuimbe eh
eeeeeeeeeh
wewe ni Bwana
Ebenezer
Bwana wa mabwana
Mfalme wa wafalme
Mungu wa miungu
nani kama wewe?
ni weweweweweweweweeeeeeeh
come on!
glory
power
Makadeshi
oooh yeeeeeeeeeeeee!
tuimbe eh
wewe ni Bwana
oh lalalalala
oh lalalalalal
tuimbe eh
wewe ni Bwana
oh yeeeeeeeeeeeeeeeeh
tuimbe eh
mama wee
wewe ni Bwana
ah yeyayeyayeyayeyaaaaaaah
tuimbe eh
wewe ni Bwana
nananananannananan yeeeeee!
tuimbe eh
wewe ni Bwana
come on!
glory!
power!
Makadeshi!
oh yeeeeeeeeeeeeeeeee!
****the end ******
thank you for supporting Rose Muhando Ministry
lyric sync by Phellow Aduvaga 25479051905