![Kimbembe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/11/dc9ea36c4eb8478da9148f792748300a.jpg)
Kimbembe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Kimbembe - Rose Muhando
...
Kimbembe - Rose Muhando
...
Kimbembe song by Rose Muhando
Lyrics synchronised by Phellow Aduvaga 254790511905
********piano********
kama umekaa upande wa maadui basi jipange
na kama umekula kuku na bia za Wafilisti utazitapika
maana hii
lazima ing'oke na mtu
*****verse 1******
walimnyoa nywele Samsoni wakasema wameshamuweza
wakamtupa gerezani wakadhani wameshammaliza
walisahau siri ya Samsoni ni nywele zake
walisahau kwamba nguvu za Samsoni ni nywele zake
zimeota tena
zimeota tena
nywele zimeota tena
zimeota tena
kamba zimekatika
zimekatika
minyororo kukatika
imekatika
kamba zimekatika
zimekatika
minyororo kukatika
imekatika
kumbe zimeota tena
zimeota tena
nywele zimeota tena
zimeota tena
kufumba na kufumbua mambo yalibadilika dakika raaa!
********CHORUS******
WALIONA MAWENGE
kimbembe walikiona kimbembe
WAFILSTI MAWENGE
kimbembe walikiona kimbembe
JAMANI MAWENGE
kimbembe walikiona kimbembe
DELILA NA MADANGA YAKE
kimbembe walikiona kimbembe
DELILA NA WASHIKAJI
kimbembe walikiona kimbembe
WAFILSTI MAWENGE
kimbembe walikiona kimbembe
MAMBO YALIPOBADILIKA
kimbembe walikiona kimbembe
MAANDISHI YALIPOBADILIKA
kimbembe walikiona kimbembe
WALISHINDWA KUISOMA NAMBA
kimbembe walikiona kimbembe
KICHAPO KIKALI MBAYA MBOVU
kimbembe walikiona kimbembe
WALISHINDWA KUISOMA NAMBA
kimbembe walikiona kimbembe
MAPOZI YALIWAISHIA
kimbembe walikiona kimbembe
NETIWEKI HAZISACHI JAMANI
kimbembe walikiona kimbembe
MAPOZI YAMEWAISHIA
kimbembe walikiona kimbembe
MAWEENGEEE
kimbembe walikiona kimbembe
MAWEENGEEE
kimbembe walikiona kimbembe
WAFILSTI MAWENGE
kimbembe walikiona kimbembe
MAADUI MAWENGE
kimbembe walikiona kimbembe
DELILA NA MADANGA YAKE
kimbembe walikiona kimbembe
KIMBEMBEEE
kimbembe walikiona kimbembe
KIMBEMBEE
kimbembe walikiona kimbembe
HAA KIMBEMBEE
kimbembe walikiona kimbembe
KIMBEMBEEE
kimbembe walikiona kimbembe
******instruments*****
******Verse 2*******
Walikwenda kwa waganga ili waweze kufuta jina lako
wakatoa na kafara ili wakatishe uhai wako
waliteta na kuzimu ili waharibu mambo yako
walisahau kwamba mkono wa Mungu u pamoja nawe
walisahau kama agano la Mungu li pamoja nawe
kumbe zimeota tena
zimeota tena
nywele zimeota tena
zimeota tena
kumbe zimeota tena
zimeota tena
nywele zimeota tena
zimeota tena
kamba zimekatika
zimekatika
minyororo kukatika
imekatika
kamba zimekatika
zimekatika
minyororo kukatika
imekatika
kufumba na kufumbua mambo yakabadilika dakika rrraaaa!
*******CHORUS*******
WATAONA MAWENGE
kimbembe watakiona kimbembe
WACHAWI MAWENGE
kimbembe watakiona kimbembe
WASHIRIKINA MAWENGE
kimbembe watakiona kimbembe
JESHI LA KUZIMU MAWENGE
kimbembe watakiona kimbembe
WATASHINDWA KUISOMA NAMBA
kimbembe watakiona kimbembe
SWAGA ZITAWAISHIA
kimbembe watakiona kimbembe
KICHAPO KIKALI MBAYA MBOVU
kimbembe watakiona kimbembe
KUTOKA KWA YESU
kimbembe watakiona kimbembe
KIMBEMBEEE
kimbembe watakiona kimbembe
AH WACHAWI MAJANGA
kimbembe watakiona kimbembe
WASHIRIKINA MAJANGA
kimbembe watakiona kimbembe
KIMBEEMBEE
kimbembe watakiona kimbembe
KIMBEEMBEE
kimbembe watakiona kimbembe
AH NASEMA MAWENGE
kimbembe watakiona kimbembe
WACHAWI WOTE MAWENGE
kimbembe watakiona kimbembe
WAGANGA WA KIENYEJI
kimbembe watakiona kimbembe
KARUMANZIRA AAH!
kimbembe watakiona kimbembe
*KIKAGUNA* MAJANGA
kimbembe watakiona kimbembe
WATAKIONA
kimbembe watakiona kimbembe
WACHAWI MARUWERUWE
kimbembe watakiona kimbembe
MARUWERUWE
kimbembe watakiona kimbembe
KIMBEEMBEE KIMBEEMBEE
kimbembe watakiona kimbembe
KIMBEEMBEE KIMBEEMBEE
kimbembe watakiona kimbembe
kimbembe watakiona kimbembe
kimbembe watakiona kimbembe
WACHAWI MARUBORUBO
kimbembe watakiona kimbembe
******INSTRUMENTS ******
KAMA UMEKAA UPANDE WA MAADUI BASI JIPANGE
NA KAMA UMEKULA BUKU NA MIA ZA WAFILSTI
BASI JIANDAE
MAANA HII
LAZIMA ING'OKE NA MTU
******interlude*****
KIMAAASO
masomaso na wachawi msinione
KIMASO
masomaso na waganga msinione
KIMAASOMAASO
masomaso mashetani msinione
KIMAAASO
KIMAAASO
KIMASOOOO
masomaso na wachawi msinione
NINAPENDWA NA MUNGU
masomaso na wachawi msinione
NINALINDWA NA MUNGU
masomaso mashetani msinione
WÀSHIRIKINA KIKONO
masomaso na wachawi msinione
WANAFIKI KIKONO
masomaso na waganga msinione
WENYE WIVU KIKONO
masomaso mashetani msinione
KIMAAASO
masomaso
KIMAAASOO
na wachawi msinione
HAA! KIMAASO
masomaso na waganga
AH!
msinione
KIMASOO HOO
masomaso mashetani msinione
KIMAASOMAASO
masomaso na wachawi msinione
AH! KIMAAASO
masomaso na waganga msinione
WANAFIKI KIKONO
masomaso mashetani msinione
lyric sync by Phellow 254790511905