![I Surrender](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/24/B6/rBEehlvup2GAGUWAAACYwb6ivtc643.jpg)
I Surrender Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
I Surrender - Angel Benard
...
I SURRENDER BY ANGEL BERNARD
Sikupi mipaka tena mmmh
Chukua nafasi Bwana uuuuh
Miliki kila chumba ndani yangu Sikupi mipaka tena hmmhmm Panga na pangua
Yape yote sura yako
Acha nifurike wewe Wewe tu uuuh
Panga na pangua
Yape yote sura yako
Siwesi bila Wewe
I surrender I surrender
Sikupi, Mipaka tena
I surrender Uuuhhh..... hmmmm...
Umenijua toka kale
Kabla ya kuumbwa kwangu Nitawezaje bila wewe Uuuuhhh.. Hatua zangu bila wewe
Ni bure na nitaishia
Uharibifuni Ninakuhitaji eeeeh
I surrender (I surrender)
I surrender (I give it all to you)
Sikupi, Mipaka tena
I surrender I surrender
Sikupi (Sikupi mipaka tena) Mipaka tena
I surrender, I surrender,
Sikupi Mipaka