![Ni Wewe](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/30/C9/rBEeMlkkJtOAUwp3AABrHM1ZqJM916.jpg)
Ni Wewe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Ni Wewe - Angel Benard
...
eeeiyee.....hooouuhuuu...thank you jesus...thank you lord...uuuuhuuuuhuuh... nimetoka mbali hadi hapa nilipo sikazi rahisi hiii(si kazi rahisi hiii)
nikitafakari hivi nilivyo haikuwa rahisi hi,haikua rahisi hiii
pamoja ugumu Mungu ulinishikilia,nisirudi nyuma(oooohooo eeeiye)
sikuhofu nilidumu,huku ukinishikilia nisikate taama
(eeeehiyeiyeiye huuuuuu weweee)
weweee umekuwa ushindi wangu wewe,
weweee umekuwa tumaini langu wewe
weweee umekuwa ushindi wangu weeewe...wewe wewe huuuuu wewe...
ukategua mitego,
ukanifantia wigo,
ukaondoa mapigo,
yangu yooote*2
pamoja na ugumu Mungu ulinishikilia nisirudi nyuma
sikuhofu nilidumu huku ukinishikilia nisikate tama....yeiyeiyeiye huuu...uu..uuu
wewe umwkuwa ushindi wangu weeewe
wewee umekuwa tumaini languu
weweee umekuwa ushindi wanguu wewewewe.....weweee....weweuwee iye wewe wee....mmmh uuuhu oooh asante yesu...wewe ni mwema kwangu...mmmmh yeeee.....oooohohwowowoooowo
wewe umekuwa ushindi wangu
wewee umekuwa tumaini langu weewe uweuweeeiii
wewe umekuwa tumaini langu uuuuhhh
weeewe...weeeewe..wewew
weweee nguvu yangu,ushindi wangu...
weweee bendera ya ushindi wangu ni wew heee
weweee umekuwa baba kwangu,wewe raha yangu
weweee kila kitu maishani mwangu weweweuweuwee eeeh