![Utukumbuke](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/6C/BA/rBEeMVqc2GOAI1woAACv_ThE1bA438.jpg)
Utukumbuke Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Utukumbuke - Angel Benard
...
Heeeee....
Bwana Yesu nataka niseme na wewe,
Huuu....uuhhh
(Still alive)
Verse 1.
Usife moyo baba,
Usife moyo mama,
Nakuona mama, unatazama watoto waumia moyoni,
Nakuona baba unashinda umelewa huheshimiwi nyumbani,
Nakuona kijana umetafuta umechoka, rudia tena na leo.
Mwokozi ona yale wanayopitia,
Baba ona, wakumbukeeee......!!!
Chorus.
Uwakumbuke....wagonjwa wale,
Uwakumbuke, yatima baba,
Uwakumbuke Baba...!!!
Wanandoa wale, utukumbuke.
Kina mama wale, utukumbuke,
Ona Baba wale, utukumbuke Baba.
Wakumbukeeeeee......!!!!
Verse 2.
Mkono wako si mfupi usiokoe,
Na sikio lako sio zito lisisikie,
Bwana, mkono wako si mfupi, usiokoe,
Na sikio lako sio zito lisisikie,
Wewe ni mwanzo tena mwisho.....eeh,
Kwako hakunalo gumu,
Tujapokuwa dhaifu,
Bwanaaaa..... wewe ndio nguvu zetu.
Chorus
Uwakumbukeee....eeeh... uwakumbuke,
Kanisa lako, uwakumbuke,
Taifa letu, uwakumbuke Baba.
Baba tunakutazama, utukumbuke,
Ona watoto wale, utukumbuke,
Barabarani Baba, utukumbuke Babaaaa...!!
Onaaaaaa.....aaaah......ehh
Bwana Yesu wewe ndiwe majibu ya kila mwenye maswali moyoni.
Unaweza Yesu ehhe, Uuuuh....huuu
Uwakumbuke,
Wakumbuke watoto wale, uwakumbuke,
Ona Baba wajane wale, uwakumbuke Baba,
Wewe ndio mume wao Baba, utukumbuke,
Utukumbuke Baba, utukumbuke,
Taifa letu na nchi yetu, serikali na viongozi, utukumbuke Baba.
Utukumbuke Baba,
Uwakumbuke, uwakumbuke, uwakumbuke Baba.
Utukumbuke, utukumbuke, utukumbuke Baba......