Salama Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Salama - Angel Benard
...
Heieee aaah Haaaaooo Mmmmmm Nionapo amani kama shwari ama nionapo shida Kwa mambo yote umenijulisha ni salama rohoni mwangu
Nionapo amani kama shwari ama nionapo shida
Kwa mambo yote umenijulisha ni salama rohoni mwangu
Ni salama rohoni mwangu
Salama rohoni
Ni salama rohoni mwangu Salama rohoni Ni sakama rohoni mwangu Ingawa shetani alinitesa nalijipa moyo kwani Kristo uliuona unyonge wangu ulikufa kwa roho yangu Dhambi zangu zote wala si nusu ziliwekwa msalabani Wala sichukui laana yake ni salama rohon mwangu
Salama rohoni Ni salama rohoni mwangu Salama rohoni Ni salama rohoni mwangu Salama rohoni Ni salama rohoni mwangu Salama rohoniiiiii Ee Bwana imiza siku ya kuja panda itakapolia Pale utaposhuka wala sitaogopa Ni salama rohoni mwangu Salama rohoni Ni salama rohoni mwangu Salama rohoni Ni salama rohoni mwangu Kwako salama(salama rohoni) Kwako salama Yesu(ni salama rohoni mwangu) Salama rohoni Ni salama rohoni mwangu Salama rohoni Ni salama rohoni mwangu..