![Nimemuona](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/15/4b3661a933734f51b5b820d4e19408b3_464_464.jpg)
Nimemuona Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nimemuona - Angel Benard
...
Oooh uuuhh eiyeeeh Nimemuona Bwana aah eeeeeeh
(umbali huu nimefika si kwa nguvu zangu, si uwezo wangu Bwana amefanya
Hapa nasimama si kwa nguvu zangu, si uwezo wangu Bwana amefanya..×2)
(Nimeona Wemaaaaah wema, Nimeona wema usio semeka x2)
Nimeona Mungu asiyeshindwa eeenh
Nimeona Mungu asopendelea aaaah
Nimeona (declare) rafiki mwaminifu ooonh
Nimeona shujaa wa vita eeenh
Nimeona Wemaaaaah wema, Nimeona wema usio semeka
Ninashuhudia wemaaaah nimemuona wema usio semeka
Mwema x2 mmh eenh (listen)
Bwana ni Mungu akisema neno linasimama x2
CHORUS
Nimemuona shujaa, nmemuona mwokozi,
Nimeoona aaaaah eeeh nmemuona iyeeeee