![Nimebadilishwa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/15/4b3661a933734f51b5b820d4e19408b3_464_464.jpg)
Nimebadilishwa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nimebadilishwa - Angel Benard
...
eeenh mhh mb record .. hallelujah
nimebadilishwa jina
nina nafasi mpyaa si mtumwa tena.. (si mtumwa tena)
Unyonge kwangu hakuna
Natazama ya juu
nilonayo ni ya muda×2
mhh eenh
Mimii..hekalu la bwana
mtii wa memaa(mmh)
nimefanywa mwana( nimebadilishwa jinaaa)
hekalu la bwana
mtii kwa mema
nimevikwaa heshima
mhh am not longer the same yeah
hekalu la bwana mtii kwa mema
nimefanywa mwana
Mimi hekaru la bwanaa
hekaru la bwana ..uuh uuhh yeah! mtii wa mema nimevikwa heshima mhhh
Nimefanywa utisho kwa magonjwa na mapepo( kwa magonjwa na mapepo)mhhhh
Mimi uthibitisho ooh yakwamba yesu yupo( yesu yupo)
Mikono yangu imetiwa nguvu nipate utajiri nisione hasara....(hasara)
Na ndani yangu nafurika mema
Wingi wa rehema nguvu na uponajii iiihh eenh mimi
hekaru la bwana mtii wa mema(eenh)
nimefanywa mwanaa
nimebadilishwa jina aanha
hekalu la bwana uuuh eenh
mtii wa mema
nimevikwa heshima
nimefanywa chombo kipya
hekalu la bwana( nimefanywa mwema mimi sio yule tena) nimefanywa mwana
Nimebadilishwa jina yeah
hekaru la bwana(nimebadilishwaa) mtii wa mema
Nimevikwa heshima
mhh nimewekwa juu ..ooh nimewekwa juu
Pamoja nae
Pamoja nae ee
Pamoja naee yeah
nimeketishwa nae juu ya magonjwa tabu na shida
juu ya huzuni na mashaka
juu ya hofu zotee
nimewekwa juu uuu uh hey yeleleeh
hey eenh eenh eeh
hekalu la bwana
Mtii wa mema(ooh)
nimefanywa mwana( nimebadilishwa jina)
hekalu la bwana uuhh
mtii wa memaa (uuh..aanh)
nimevikwa heshima( umeficha uzuri wako ndani yangu)
hekalu la bwana( si mtumwa tena)
mtii wa mema( si kipofu tena)
Nimefanywa mwana..( mhh am not longer the same)
hekalu la bwana ( am no longer the same)
mtii wa mema eenh
nimevikwa heshima eenh
Thank you jesus!
eenh eenh heehh
ooh Jesus hallelujah
Thank you lord ooh
hekalu la bwana
mtii wa mema yeah
bwana kwa pendo lako oohhh