Umeinuliwa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Umeinuliwa - Angel Benard
...
Hallelujah
Eeeeeh
Hallelujaaaah ooooh
Uuuuh yeeeeeeeh
Oooooh
Aaaayaaayaya
There is nobody like you
mungu usiyeshindwa
unaweza yeesu
yote yanasujudu aaaaha mbele zako
mfalmee umeinuliwa
kila goti litapigwa aaaaha
hayupo Kama wewe oooh umeinuliwa
(say) simba wa muda
(yes), Mungu wangu, mtetezi umeinuliwa
amiri jahi mkuu uuuh usiyeshindwa neno
Milele umeinuliwa
ndiwe mamba wakovu wa dunia
wewe njia kweli uzima
kwako salama yetu wote eeeh
Bwana umeinuliwa
unastahili heshima, utukufu
adhama nazo nguvu