Agano ft. Joyness Kileo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Agano ft. Joyness Kileo - Rose Muhando
...
Nilipokutana na Yesu, Nilipokutana naye
(When I encountered Jesus, When I encountered Him)
Nilipokutana Baba, Nilipokutana naye
(When I encountered Jesus, When I encountered Him)
Tuliweka agano, kuwa mimi ni mwana wake
(We placed a covenant, that I am His child)
Yeye kwangu ni Baba, mimi kwake ni mwana
(He is my father, I am a His child)
Mwana wake kweli (His true child)
Agano hili ni imara, agano hili lina nguvu
(This covenant is unshakeable, this covenant has power)
Siku zinavyokwenda, linaimarika zaidi
(As days go by, it is further strengthened)
Haijalishi mapito yangu, mimi ni mwana wake tu
(It does not matter what I go through, I am still His child)
Haijalishi hali yangu ya sasa, mimi ni mwana wake
(No matter my situation, I am His child)
Baraka ni halali yangu, hata kama imechelewa
(Blessings are my right, even if they are late)
Afya njema ni haki yangu, hata kama imechelewa
(Good health is my right, even if it is late)
Eh nafsi yangu, tulia! (be still my soul!)
mimi ni mwana wa Mungu
eeeh eeh mimi mwana wake kweli
mimi ni mwana wa Mungu uuh
oooh ooh mimi mwana wake kweli
haijalishi mazingira
eeeh mimi mwana wake kweli
mimi ni mwana wa Mungu uuuh
oooh ooh mimi mwana wake kweli
hata kama niko gizani
eeeh mimi mwana wake kweli
Yeye ni nuru yangu
oooh mimi mwana wake kweli
mmmh eh eh
Mimi simwonei mashaka, Mungu ninayemwabudu
(I do not doubt the God that I worship)
Wala simwonei mashaka, Mungu ninayemwamini
(And I do not doubt, the God I believe in)
Mimi simwonei mashaka, Mungu ninayemwabudu
(I do not doubt the God that I worship)
Wala simwonei hofu, Mungu ninayemwamini
(And I do not fear, the God that I believe in)
Haijalishi ni nyakati gani, ninazopitia mimi
(It does not matter the times that I go through)
Haijalishi ni majira gani, ninayopitia mimi
(It does not matter the seasons that I pass through)
Haijalishi ni nyakati gani, ninazopitia mimi
(It does not matter the times that I go through)
Haijalishi ni majira gani, ninayopitia mimi
(It does not matter the seasons that I pass through)
Wala simwonei mashaka, Mungu ninayemwamini
(And I do not doubt, the God that I believe in)
Hofu no! Shaka no! kwa Mungu ninayemwabudu
(Fear, No! Doubts, no! In the God that I believe in)
hofu no shaka no kwa Mungu ninayemwamini
aaaaaaaaah haya nayo haaaaayo hayo haya nayo
haaaaayo hayo haya nayoo
hofu no! shaka no!
kwa Mungu ninayemwamini
hofu no
shaka no
kwa Mungu ninayemwabudu aaaaaaaaaaaaaaaaaaah!
mimi ni mwana wa Mungu
eeeh mimi mwana wake kweli
nasema ni mwana wa Mungu
oooh mimi mwana wake kweli
nimezaliwa kwa damu yake
eeeeh mimi mwana wake kweli
ninaishi kwenye pendo lake
ooooh mimi mwana wake kweli
nonononononononononoooo
eeeh mimi mwana wake kweli
oh nono onononononono
oooh mimi mwana wake kweli
nasema mimi ni mwana wa Mungu
aaah aaah aah
ah jamani ni mwana wa Mungu eeh
lyric sync by Phellow 254790511905