![Wananisemaje?](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/19/34733004758a4e98af5b2c12906c51dcH800W800_464_464.jpg)
Wananisemaje? Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Wananisemaje? - Bahati Bukuku
...
lyrics synchronised by Phellow 254790511905
huko mtaani wananisemaje?
aliwauliza wananisemaje..
huko mtaani wananisemaje
alitamani kujua wanamuitaje?
wakasema wengine wanamwita Eliya
wengine wanakwita Nabii
hawakutaka kumwambia huko mtaani ****
******
kuna mambo jifanye hujui
yanapozungumzwa jifanye hujui
kuna taarifa jifanye hujasikia
zinapozungumzwa jifanye hujasikia
kuna maneno jifanye hujui
wewe unaposemwa jifanye hujui
unaishi na dunia iliyovurugwa
usitamani kujua itakuvuruga
unaishi na watu waliovurugwa
ukiwasikiliza watakuvuruga
maneno ya maadui zako
ni uchafu wa moyo huna dampo la kutunza uchafu
maneno ya maadui zako ni uchafu wa moyo
huna dampo la kutunza uchafu
aaaah huwooo baba oooh ohooo
maneno ya adui zangu ni uchafu wa moyo
sina dampo la kuwahifadhi moyoni
aaah huwooo baba oooh ohooo
maneno ya maadui wanaotumiwa na shetani
sina dampo la kuwaweka moyoni mwangu
aaah huwooo baba oooh ohooo
walitamani wasikie mabaya tu
mabaya tu walitaka wasikie mabaya tu
walitaka wasikie mabaya tu mabaya tu
walitaka wasikie mabaya tu
aaah huwooo baba oooh ohooo
singing in Vernacular
aaah huwooo baba oooh ohooo
lyrics synchronised by Phellow Aduvaga
254790511905