![Majaribu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/06/80/rBEeqFqmMLGAUA28AADuNdwbTcY829.jpg)
Majaribu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Majaribu - Bahati Bukuku
...
ukiinuliwa na wanadamu wanadamu watakushusha chini kuinuliwa na Mungu juu ni lazima utakuwa juu,×2
cha mwanadamu kitakufa tu cha Mungu lazima lionekane juu×2
ooh mbona unalia ni Mungu akiweka juu
ni Mungu akiweka juu lazima Mambo yako yatakuwa juu
hawezi kuicha waIsraeli kwenye ramani ya dunia,amini usiamini utapata tabu maana ni Mungu kainua
cha mwanadamu kitakufa tu cha Mungu lazima kionekane juu
ukiinuliwa na wanadamu wanadamu watakushusha chini kuinuliwa na Mungu juu ni lazima utakuwa juu cha mwanadamu kitakufa tu cha Mungu lazima kionekane juu
oohh utakuwa juu ni Mungu atakuweka juu kimaisha utakuwa juu ni Mungu atakuweka juu kielimu utakuwa juu ni Mungu kakuweka juu ni Mungu kakuweka lazima mambo yako yatakuwa juu
ooh Oho usilie wewe ni dhahabu ×2dhahabu ikipitishwa kwenye moto lazima litang'aa tu
dhahabu ni tofauti na jiwe jiwe likipita litapasuka tu
ohh utakuwa juu ni bwana atakuweka juu kimaisha utakuwa juu ni bwana atakuweka juu ki elimu utang'ara tu ni bwana atakuweka juu
ni Mungu atakuweka lazima mambo