![Sitaki Lawama](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/06/edf243e92a3841c79e362a62ef8cf264_464_464.jpg)
Sitaki Lawama Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Sitaki Lawama - Bahati Bukuku
...
by Phellow 254790511905
......piano.....
*****verse1******
lawama lawama sitaki nakuambia
maneno maneno sitaki hebu nisikie
lawama lawama sitaki nakuambia
maneno maneno sitaki hebu nielewe
sitaki tulaumiane
tulaumiane
sitaki tulaumiane
usijesema nina roho mbaya
oooh sitaki tulaumiane
tulaumiane
sitaki tulaumiane
usijesema nina roho mbaya
aaah sitaki tulaumiane
tulaumiane
sitaki tulaumiane
usijesema sikukwambia
lawama lawama sitaki
nakuambia
maneno maneno sitaki
hebu nisikie
lawama lawama sitaki
nakuambia
maneno maneno sitaki
hebu nielewe
isije ikawa kama kwa Nuhu
isije ikawa kama kwa Nuhu
njooni tujenge safina
njoni tujenge safina
watu walicheka maneno ya Nuhu
njoni tujenge safina
watu walibeza maneno ya Nuhu
mwaka wa kwanza wakasema inawezekana
mwaka wa pili wakasema inawezekana
miaka kumi
walichoka kusubiri
miaka ishirini walichoka kusubiri
miaka thelathini
walichoka kabisa hao wakaanza kejeli
miaka arobaini
walisahau kabisa
ndege wanaingia ndani ya safina
dunia iko bizee
wanyama wanaingia ndani ya safina
wao hawana habari
wanyama wanaingia ndani ya safina hooo
dunia iko bizee-eeeh
mwanadamu yuko bize-eeeh
waliendelea na mambo yao
hawakumsikia Nuhu
walikuwa na mipango yao
hawakutaka kumtafuta Mungu
walikuwa na mambo yao
hawakutaka kumsikia Nuhu
wakaanza kejeli
wakaanza kucheka
wanyama wakaingia ndani ya safina
wao hawana habari
ndege wakaingia ndani ya safina
wao wako bizee
wanyama wakaingia ndani ya safina
wana mipango mikubwa
wanyama wakaingia ndani ya safina
dunia iko bizee
mvua ikaanza kunyesha taratibu
wakakinga hata maji
walianza kuogelea
mpaka kwa nuhu
walianza kuizonga safina
mpaka kwa Nuhu
wakaanza kugonga mlango kwenye safina
wakaanza kupiga kelele kwenye safina
Nuhu fungua mlango Nuhu ninakufa
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
Nuhu mimi ni mama yako Nuhu nifungulie
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
*******(singing in Vernacular)
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
*****(singing in Vernacular)
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
****(singing in Vernacular
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
Nuhu mimi ni mama yako Nuhu hebu nifungulie
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
*****instruments*****
****verse2*****
Neema ipo ndugu
neema ipo ndugu
wachungaji wamekuhubiria
manabii wamekutabiria
neema ipo ndugu
watumishi wamekuonya
tusijelaumiana
aaah sitaki tulaumiane
tulaumiane
sitaki tulaumiane
usijesema sikukwambia
oooh sitaki tulaumiane
tulaumiane
sitaki tulaumiane
usijesema nina roho mbaya
maneno maneno sitaki nakuambia
maneno maneno sitaki ndugu yangu
*****chorus****
Nuhu fungua mlango Nuhu ninakufa
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
Nuhu, mimi ni mama yako Nuhu, nifungulie
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
*****singing in Vernacular
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
******singing in Vernacular
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
*******singing in Vernacular
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
Nuhu mimi ni mama yako Nuhu hebu nifungulie
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
Nuhu, fungua mlango Nuhu, ninakufa
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
Nuhu mimi ni mama yako Nuhu nifungulie
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
****singing in Vernacular
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
****singing in Vernacular
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
*****singing in Vernacular
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
Nuhu mimi ni mama yako Nuhu ebu nifungulie
HAA SIKUFUNGA MIMI MLANGO OGELEA TU
by Phellow 254790511905