Nimesamehewa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Nimesamehewa - Bahati Bukuku
...
ndugu yangu kunawakati wa goliati kulitukana jina la bwana wa majeshi,
ashukuliwe mungu kwa kuwa kuna wakati wa daudi kukikata kichwa cha goliati, wakati wa goliati kulitukana jina la bwana wa majeshi, ni niwakati mgumu sana kwa wana waislaeli wakati huo ni mzuri saaana kwa wafilisti, ashukuliwe Mungu kwa kuwa ninaposoma neno lake, halisemi kuwa goliati alibebwa kwa heshima baada ya kukatwa kichwa,