Magonjwa Yote Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Magonjwa Yote - Bahati Bukuku
...
nguo walimvua haa, nguo walimvuaaaa, nguo walimvuaaa, ohoo, nguo walimvuaaa, mwanadamu walipo hasi mbelezakoo, mwanadamu walipo hasi mbele zako, Mungu wa huruma ulimuhurumia, Mungu wa huruma ulimuhurumia, ulimutoa yesu kwa gh'arama kubwa, ulimtoa Yesu kwa gh'arama kubwa ohoooooo, nguo walimvua ahaa, nguo walimvuaaa, misumali alipigwaaa ohooo, mijeredi alipigwaaa, alipopigwa mijeredi ilitoka na nyamaaa, maumivu makali yeye alipata, neno la mungu linasema hivi, kwa kupigwa kwake sisi tumepona, kwa kupigwa kwake umepona ukimwi, kwa kupigwa kwake umepona ganzi, kwa kupigwa kwa Yesu umepona kansa, amesema yeeeye, amesema yeeyeeee.