![Maamuzi](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/06/80/rBEehlqmMH-ATCgqAADy01ZhSAA878.jpg)
Maamuzi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Maamuzi - Bahati Bukuku
...
Maamuzi yako matokeo ya kesho amua
vema upate mema wewex2
Alikuwepo mama mmoja ngoja nseme jina lake aliitwa tundo
Alichukuliwa na ugumba miaka mingi ndoa yake ilikuwa matatan
Hata mawif zake wote hawakumpenda tena
Tundo aliamua kwenda kwa waganga
Alizunguka huku na kule kutafuta msaada aliona bora aende kwa waganga Tundo
Maamuz yako matokeo ya kesho amua vema upate mema wewe
Alikutana na mganga mmoja nchin congo akampa dawa za kutosha Tundo
Tundo alizaa mtoto wa kiume jina lake alimuita sinduna
Maajabu aliyokuanayo mtoto yule alikuwa amezaliwa na meno
Maajab alikuwanayo sinduna alizaliwa na meno kama mtu mzma
Tundo kwa kuchelewa kwake alifurah akamin mganga amemsaidia lakini alipokuwa akinyonyesha mtoto yule ghafla aling’ata mwili wake Tundo mwili ukapoa wote upande mmoja lilikuwa nitatizo lililomsumbua tundo
Maamuz yako matokeo ya kesho amua vema upate mema wewe
Tundo alilia akisema mwili wang wote sasa umabadilika
Rangi ya ngozi yake tundo iligeuka ikawa gamba la nyoka mwili mzma siku moja marafiki zake wakamtembelea tundo siku moja ndugu zake walipomtembelea tundo wakalia sana wakamwambia ndugu yetu tundo kuna mhubiri anahubiri twende ukaombewe tundo
Maamuz yako ni matokeo ya kesho amua vema upate mema maamuz yako unayochukua ahaa amua vema upate mema
Tundo akondoka na mtoto wake huku tatizo la utasa limekwisha akifurahia kumwona mtoto alipokuwa akihubiri akamuona tundo mbele yake akamwbia mama njoo mbele tundo akasogea akijua muujiza umefika.