Get Premium

Atakushangaza Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
atakushangaza bwana ww *6
hivyo ulivyo na magonjwa yako hivyo ulivyo na u maskini wako hivo ulivyo na shida zako
hivo ulivyo na kudharauliwa kwako
mungu ana mpango na wewe*2
atakushangaza bwana wewe*2
Yale magumu uliyopitia wewe
yale mateso yaliokuandama mama
Ile mikosi iliyokukuta dada
mungu amesikia sasa
baba anakujibu leo
atakubafiki leo
atakushangaza bwana wewe *6
umefika mwisho
umefika mwisho wa haibu yako we
umefika mwisho umefika mwisho wa shida zako wewe
mungu atakushangaza sasa