![Mbeba Maono](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/06/80/rBEehlqmMH-ATCgqAADy01ZhSAA878.jpg)
Mbeba Maono Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Mbeba Maono - Bahati Bukuku
...
Ndoto ya yusufu,alipowaambia ndugu zake
maono ya Yusufu,alipowaambia ndugu zake
(kwamba ameona wakimuabudu wakimsujudia)×2
Ndoto ya Yusufu,ndicho kilichokuwa chanzo
ndoto ya yusufu ilikuwa chanzo cha vita yake
mbeba maono haaafi,inuka Mungu anakusidi nawe.
mbeba maona haaaafi,inuka bawana ana kusudi nawe