![Waraka](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/06/80/rBEeqFqmMLGAUA28AADuNdwbTcY829.jpg)
Waraka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Waraka - Bahati Bukuku
...
.......
waraka wa hamani uliowafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule
waraka wa hamani uliowafanya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati ule
waraka ulioandikwa wayahudi wauawe
waraka Uliotangazwa mordekai anyongwe
waraka ulioandikwa wayahudi wauawe
waraka uliotangazwa mordekai anyongwe
Esther akiwa kwenye nyumba ya kifalme
Esther akiwa ni malikia
Ndipo mordekai alirarua mavazi yake alivaa mavazi ya magunia ilionyesha ya kwamba anaomboleza
akasimama mbele ya malikia anha akamwambia Esther mama naomba sikia
ujue umekuja Esther kwa wakati huu, Hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa
ujue umechaguliwa kuwa malikia kwa wakati huu Hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa
Esther kwa maombolezo , uku akisindikizwa na maombi ya wayahudi
Esther ahaa alikwenda kwenye malango ya kifalume kinyume cha taratibu
Esther kwa kutangaziwa alikwenda ohoo kinyume cha taratibu
akamwambia eh mfalme ukiona vema ah waweza kuniruhusu niingie malangoni pako
akamwambia ee mfalme ee ukiona vema aha waweza kuniruhusu niingie malangoni pako
akamwambia ee mfalme ee ukiona vema ahaa waweza kuniruhusu niingie malangoni pakooo
Esther kwa maombolezo, huku akisindikizwa na maombi ya wayahudi
mfalme akasimama akamtazama malikia akachukua fimbo yake akamnyoshea
akasema ahaa nini haja ya moyo wako hata nusu ya ufalme wangu nitakupatia
akasema ahaa nini haja ya moyo wako hata nusu ya ufalme wangu ntakupatia
Esther kwa maombi ya wayahudi aliweza kunyamaza kimya
Esther kwa maombi ya wayahudi aliweza ohoo kunyamaza kimya
Esther akamwambia eh mfalme ukiona vyema naomba niandae meza
akamwambia ee mfalme ukiona vema naomba niandae meza mje na hamani