Kesho ft. Beatrice Kitauli Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Kesho ft. Beatrice Kitauli - Rose Muhando
...
lyric sync by Phellow 254790511905
oh lalalalala
naingoja kesho
oh lalalala
nikuinuliwe
oh lalalala !
kesho iliyojaa baraka tele
kesho isiyo na manung'uniko
kesho adui watakoma
kuonewa kutakwisha
kilio hakuna tena aaah
kesho yangu inakuja
sitalia tena
sitasikitika
kesho yangu inakuja
kesho ya matumaini
kesho iliyo na baraka
kesho inenayo mema
kesho yangu inakuja
japo mbele naona milima ah
japo mbele naona mateso oh
japo mbele naona adui ii
lakini kesho inakuja
oh lalalala
naingoja kesho
oh lalalala
nikainuliwe
oh lalalala
naingoja kesho
oh lalalala
nikadhibitike
oh lalalala
naiona kesho oh
Yusufu aliamini katika ndoto
na kesho yake ikatimia
Japo alitupwa kisimani
japo aliuzwa Yusufu Misri
japo alikaa gerezani
lakini kesho yake ikatimia
nami siogopi shida
siogopi tabu
siogopi dhiki
kesho inakuja
oh lalalala
naingoja kesho
oh lalalala
nikainuliwe
oh lalalala
naingoja kesho
oh lalalala
nikadhibitike
oh lalalala
naiona kesho oh!
lyric sync by Phellow 254790511905
japo leo naota kinundumgongo
watu wengi watacheka sana
japo leo napita kwa shida
maadui wanafurahia
lakini nataka niwaambie
adui zangu leo niwaambie eeh
kwamba mateso ni leo
lakini kesho inakuja
kwamba dhiki ni ya leo
lakini kesho inakuja
nasema magonjwa ni leo tu
kesho yangu inakuja
oh lalalala
naingoja kesho
oh lalalala
nikainuliwe
oh lalalala
naingoja kesho
oh lalalala
nikadhibitike
oh lalalala
naiona kesho oh!
oh lalalala
naingoja kesho
oh lalalala
nikainuliwe
oh lalalala
naingoja kesho
oh lalalala
nikadhibitike
oh lalalala
naiona kesho!