
Efatha/Funguka Lyrics
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2022
Lyrics
Efatha/Funguka - Rose Muhando
...
lyric sync by Phellow Aduvaga 254790511905
Funguka
inuka
jitwite godoro lako uende
inuka
jitwike godoro lako uende
efatha
kwa jina la Yesu simama uende
efatha
kwa jina la Yesu simama uende
mbona unahuzunika wewe umelala
umefungwa na nini
mbona wewe umelala
wenzako wanabarikiwa mbona wewe umelala
msimu wa kiangazi na masika vinapita
wewe umelala
umefungwa na nini mbona umelala
unaitwa majina mabaya sababu yote wewe umelala
mkono wa Mungu uko hapa
uweza wa Mungu uko hapa
uwepo wa Mungu uko hapa
na Yesu mwenyewe yuko hapa
kwa jina la Yesu
simama uende
kwa jina la Yesu
tembea uende
pokea muujiza wako
uwe mzima...kwa jina la Yesu
uzima uwe juu yako
uwe mzima...hey kwa jina la Yesu
ufunguliwe kwenye vifungo
uwe mzima...oh Kwa jina la Yesu
uwe mzima...utolewe kwenye mateso
uwe mzima...wee! kwa jina la Yesu
uwe mzima
umefungwa kazini kwako...uwe mzima
ahi kwa jina la Yesu.....uwe mzima
je umefungwa kwenye mapango
uwe mzima....kwa jina la Yesu
je umefungwa kwenye makaburi
uwe mzima....toka kwa jina la Yesu
uwe mzima....umefungwa kwenye uchawi
uwe mzima.... ahi kwa jina la Yesu
ahii naamuru uzima kwako....uwe mzima
wee! kwa jina la Yesu ...uwe mzima
naamuru amani yako....uwe mzima
kwa jian la Yesu...uwe mzima
simama uende...uwe mzima
kwa jina la Yesu....uwe mzima
mama simama simama simama...uwe mzima
nasema inuka inuka ....uwe mzima
inuka inuka nasema kwa jina la Yesu...uwe mzima
kwa jina la Yesu kwa jina la Yesu...hey ...uwe mzima
kwa jina la Yesu uwe mzima...kwa jina la Yesu
hey....uwe mzima...wooooiyeeee...uwe mzima
wowowowowowooooo...uwe mzima
******speaks in tongues*******
halelluya....heee! aaaaaaaiiiiii
vifungo vikuachie....uwe mzima
kwa jina la Yesu...uwe mzima
utasa ukuondoke....uwe mzima
wee kwa jina la Yesu...uwe mzima
viziwi na usikie....uwe mzima
kwa jina la Yesu....uwe mzima
ah laana zikuondokee...uwe mzima
kwa jina la Yesu ....uwe mzima
enenda na amani yako...uwe mzima
ah kwa jina la Yesu...uwe mzima
ah enenda na uponyaji wako
uwe mzima....wee mama...kwa jina la Yesu
nasema efatha...uwe mzima
kwa jina la Yesu...uwe mzima
wee efatha....uwe mzima
kwa jina la Yesu...uwe mzima
nasema enenda na amani yako
uwe mzima uwe mzima
kwa jina la Yesu ....uwe mzima
efatha
uwe mzima....efatha efatha....uwe mzima
inuka inuka uwe mzima
inuka aah efatha...uwe mzima
wowowoooo...uwe mzima...weeeeeeiyeeewowowowoooo
.....the end.....
lyric sync by Phellow Aduvaga 254790511905
From nothing to something