![Amesahau](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/21/348393ecf1e840faa0f9f59e98db1de4_464_464.jpg)
Amesahau Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Amesahau - Nedy Music
...
Amesahau _Nedy music
beats
Nanananaanaaaah!
In my life,in my life
Sijazea kuishi mwenyewe (in my life)
Pain in love,pain in love,
Nilizoe kusikia kwa wengine( in my life)
Aaah! aaaah! aaaaaah!
Mwenzenu kiza mbele sioni sipo kwa Israel
Kwa roho yangu ilisha kaa taabanii (hihiiii)
Hanitoki akilini kila kukicha najiulizaga maswali
Nakupona sina dalili si utanii (hihiii!)
Ona kanigombanisha mpaka mimi na mama yangu
Kanigonganisha mpana na rafiki zangu
Ana nikondeesha miiii!
Ana nihoneaaaaah!
Wala hakuna maanaaa!
Kusema nimwaache aendee
Fanya masihalani,fanya masihalani,
Aah!, aah! aaaaah! aaaaaah!
Nimeishiwa maanaa
Mimi kwake sina faida tenaa
Fanya masihalani, fanya mashalani
mmh! mmh! mmmmh!
Amesahaaau (aaamesahau!)
Tulipo tooka amesahaaau(aaamesahau!)
Amesahau, amesahau(aaamesahau)
Tulipo tooka amesahau (aaamesahau
Beats
Kuna wakati na sononeka na maumivu , kichwaanii mawazoo sunamiii
Nanilifanya vyoote ili anipende
Sikuwahi dhani ataniacha aende
Anikoseshe amaanii, burudaaniii
Kama nimapungufu sema usiende
Namimi nina moyo nikupende unipende
Usinipe huzuniii,,
Daaring,,ooooo!
Wala hakuna manaa
Kusema ni mwache aende
Fanya masihalani, fanya masihalani
Aaah! aah! aah! aaaaaah!
Nimeishiwa maanaa
Mimi kwake sina faida tenaa
Fanya masihalani, fanya masihalani
mmh! mmh! mmmh!
Amesahaau(aaamesahau)
Tulipo tooka amesahau(aaamesahau)
Amesahau, amesahau (aaamesahau)
Tulipo tooka ameeshasahau(aaamesahau)
Beats