Mawazo Yangu ft. MeJa Kunta Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Mawazo Yangu ft. MeJa Kunta - Nedy Music
...
mmmmh mmmh mmmmh
aoaahaa mpemba mmoja
aya mawazo yangu aya mawazo yangu
aya mawazo yangu aya mawazo yangu
dunga sasa twende sasa aaaaiiii
chapa chapa chapa chapa chapa chapa
we mwana wemwana wemwanaeee
fifty na two pack Jay-Z ndugu zetu
kipindi cha utumwa zilitekwa mbegu zetu
kucopy copy walianzaga wenzetu
tuki copy sisi inakuja kula kwetu
minakumbuka katunga marimba wageni wamecopy ndo kinanda
wagogo Dodoma walitengeneza zeze
wageni ni noma guitar wamecopy zeze
mwanzo sio zama za leo mke wa mtu sumu
kaka mkane mkeo ndoa yako idumu
aya mawazo yangu aya mawazo yangu
aya mawazo yangu aya mawazo yangu
aaahaaaah aaahaaaah
minakumbuka ata mama aliongea
tamaduni zetu zitapotea
vijana wa sasa don't care
baba na mwana wanashare