![Amen](https://source.boomplaymusic.com/group1/M1A/63/FC/rBEehl5whJGAWCJsAADJNHsJQE0081.jpg)
Amen Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Amen - Nedy Music
...
mmhhh nanana nanan
masha safari dunia njia tunapita tuu
ukiacha afadhari ongeza nia utafika tu
walishaniomba lift kinyonge
nikwapa tafuu wasonge
wakaniitaa kavu mi nyonge
walo nipa ndo wale wale wapo na tonge
godi baba saidia kwenye miba palilia
kwenyeshimo we fukia
venye nikapona Fonda
sina nongwa,sina choyo
nan mganga tabili hii nyota yangu
sina meno, kibogoyo
mswaki wa nn kinywani mwangu
wanatamani wanipige at a zongo
kitambi cha maskini kibyongo
wana xhoomboo
manenoneno mengi ya uwongo
mpemba nisi fike malengo
wanakaaaaabaa
Aaammmeeenn .we omba dua
kesho usichoke yatatimia
Aaammmeeen.wekayako nia
Mora wako anakusikia
Aaammmeeen. fumba macho pia
naamini utafanikiwa
Aaammmeeen. riziki mafungu saba
nalako Lita hifadhiwa
walixha nixhangaza sambaza
kwa mabaya nkanyimwa mwema
wakanipakaza kujaza
uzuri nimenyimwa sema
pole na unyonge wangu
mboja binti juma
sante sana mama
salamu ndo natuma nakupenda sana
kuanza moja sioujinga
niamini IPO siku utashinda
japo wapo naopinga
pambana,kazana
sina nongwa, sina choyo
nan mganga itabili hii nyota yangu
sina meno kibogoyo
mswaki wa nn kinywanu mwangu
wanatamani wanipige ata zongo
kitambi cha masikini kibyongo
wanaxhoomboo
manenoneno mengi ya uwongo
mpenba nisifikee malengo
wanakaaabaaa