![Mapenzi ft. Barnaba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/15/75917f78f5aa444f8fe481e35838a1dd_464_464.jpg)
Mapenzi ft. Barnaba Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
MAPENZI LYRICS
VERSE 1:Nedy Music
Barabara Kuu, Wapo Wanaopenda Wapo Wanaotendwa, Kwenye Safari Ya Mapenzi mmh
Yalikuepo Enzi Za Adam & Hawa, Si Tumeyakuta Haya Yanatuumiza Vibaya "Mapenzi"
Laiti Ungelijua Unavyofanya Dah, Mapigo Ya Moyo Kutwa Yanadunda Paa.
Visa visa Unavyonifanyia Moyo Paah Mhhh Aaah Mmmh Aaah

Yupo Mwenye Moyo Kaubeba, Mwengine Roho Kaiaga Sababu Moja Tuuu "Mapenzi"
CHORUS:
Mi Nimesurrender Na Moyo Wangu Ndo Umeshindwa, Umeshindwaaaaa

VERSE 2:Barnaba
It's Terrible Love Bby "Classic"
Moyo Wangu Nyama Umeugeuza Tissue Umeumwagia Maji Mwaaa Mwaaa
We si Ndio Captain Tunazamaaje
"This is Not Fair"
Simu Hazipigwi Nikipiga Hushiki Unanipa Mashariti Utazani Hatudate
Nieleze Unatakaje Amaa Unasemajeee
Laiti Ungelijua Unavyofanya Dah, Mapigo Ya Moyo Kutwa Yanadunda Paa.
Visa visa Unavyonifanyia Moyo Paah Mhhh Aaah Mmmh Aaah
Visa visa Unavyonifanyia Moyo Paah Mhhh Aaah Mmmh Aaah
Yupo Mwenye Moyo Kaubeba, Mwengine Roho Kaiaga Sababu Moja Tuuu "Mapenzi"
CHORUS:
Mi Nimesurrender Na Moyo Wangu Ndo Umeshindwa, Umeshindwaaaa