![Only You](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/14/f4ae5c1ead7b4d03ab4ff5b5d630e423_464_464.jpg)
Only You Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Only You - Nedy Music
...
Una Una unaniheshimisha,
Una Una unanibadilisha,
nikisema I love you
sema I love you too
tunadumisha upendo,
wangu wa ubavu unanipa vitu,
ndo nishakupatia kitengo, seee
mmh mapenzi ulifunzwa na nani unikomaze hivi,
siwezi kwenda nawe kinyume laazizi,
wapo wanaotamani usinishike
unitupe mkono nianguke
Chanda chema ubadilike
uwe Moto uniunguze,
mi namwagia malashi na penzi linanukia,aah
wenye roho mbaya ndy wataumia,
mapishi matamtam najinenepea,
Yan Raha ananipa raha.,
only you×3
only you×3
only you×3
only you×3
Siri Siri, Siri ya nini
mwenzenu penzini Siri ya nini
huba huba limenikafini
siwakula nje vibandani
najifunza lugha Saba nimueleze mapenzi yalivo,
nikaba roho amenipa si haba,
mwenzenu sijui ni wa Jana ama wa leo,
nitangaze wanijue mi ni wako,nanaa
na wakiuliza kwann mm nakupenda sanaa,
wapo wanaotamani usinishike
unitupe mkono nianguke
Chanda chema ubadilike
uwe Moto uniunguze
namwagia malashi na penzi linanukia
wenye roho mbaya ndy wataumia
mapishi matamtam najinenepea
Yani Raha ananipa raha
only you
only you
only youuu×4
Una Una unaniheshimisha (unanifurahishaa)
Una Una unanibadilisha
Una Una unanipenda sana
nitangaze wanijue mi ni wako nanaa
wakiuliza kwann mm nakupenda sanaa
namwagia malashi na penzi linanukia
wenye roho mbaya ndy wataumia
mapishi matamtam najinenepea
Yani Raha ananipa raha