![Nishalewa ft. Mr Blue](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/56/3C/rBEeMloS08qAdA0rAAClcxlVB2I976.jpg)
Nishalewa ft. Mr Blue Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Nishalewa ft. Mr Blue - Nedy Music
...
Nedy music Nishalewa
Nimzuri mashalaa ndiye wangu nguli kwenye raha na tuli nishakaa sitaki mafedhuli abadani akili umeiteka vyema mpaka na mwili oyeeeh dhahiri kwa penzi lako tamu mama nakiri akili umeiteka vyema mpaka na mwili oyeeeh dhahiri kwa penzi lako tamu mama nakiri sijiwezi boom shalalalalalala iiieee aaii unanifanya tamu nisikie boom shalalalalalala iiieee aaii juu mpaka chini we wangu mie *2 Nshalewa nshalewa me kwa raha zako mbele me sioni *4
Leo nnae mtaka humu ndani ni we najua mwnye ladha ya pekee ni wewe kama vile mtoto umeshuka aseee ukitazama figure na namba ipoje eeh sijaona ambae ana tamba iiieee funga kilemba sio khanga iiieee mchezo co ule hujapenda iiieee mtoto katanga na pemba oyeeeh dhahiri kwa penzi lako tamu mama nakiri akili umeiteka vyema mpaka na mwili oyeeeh dhahiri kwa penzi lako tamu mama nakiri sijiwezi boom shalalalalalala iiieee aaii unanifanya tamu nisikie boom shalalalalalala iiieee aaii juu mpaka chini we wangu mie *2 Nshalewa nshalewa me kwa raha zako mbele me sioni *4
Mr Blue
(beezy babylon)
Mapenzi tilalila na me nko bweebwax mumy nirushe kaa mpira nidondoke kwnye nyasi nipeelekee kama gear mbele nyuma kaa reverse naah nmerelax yaniua kaa risas waniua kwa mapenz na silipi kisas nachotaka ni nafas vicheche tena bac mapenz na mitikasi kula tugonge glass yees raas akuna waswas nichanganyie madawa nichanganye na akili nile bila kunawa uuuh pamoja tu nimepagawa snipe tena na cha pili twende sawa kwahyo nikiwa na mtoto sihitaji shalaa eeeh staki jalaa aah mambo yte sawa
Boom shalalala boom shalalala boom shaa boom sha boom shalalala boom shalalaalaa *2
boom shalalalalalala iiieee aaiis unanifanya tamu nisikie boom shalalalalalala iiieee aaii juu mpaka chini we wangu mie0. Nshalewa nshalewa me kwa raha zako mbele me sioni