Ramadhan Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Ramadhan - Nedy Music
...
ramadan yaa ramadan
ramadani yaa ramadanii
ramadan ya aa ramadani
ramadani yaaa ramadani
karibu mgeni karibu bashasha zimetuja
kufika kwako majibu mtukufu mwezi wetu katuletea karima, tufunge zetu saumu, kuzipata zake neema na mazuri ya kudumu
ndio mwezi wa furaha um'ati kufurahiha raha zake zimetajwa na makosa kufutiwa tufunge tuweke nia
tuswala Qur'an pia malipo ake si haba
kwa mtoto wala baba,
ramadani yaa ramadani
ramadani yaa ramadani
ramadani ya ramadani
ramadani ya ramadani
misikiti tuijaze tarawehe zipendeze tufanye mema zaidi amali kujichumia
tuwape wasojiweza kwa mungu ataongeza wagonjwa hospitalini tuzijaze na imani adhana ukisikia nyanyuka ufate njia tuziswali swala tano