![Rudi ft. Christian Bella](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/5E/FE/rBEeNFov1h6AJjsGAAC6-9k2XAY678.jpg)
Rudi ft. Christian Bella Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Rudi ft. Christian Bella - Nedy Music
...
kuwa nawe subiraaaa hali yangu taabani moyo ngawira(huko uliko)×2
Sina taswira kukumbuka baya lako ila jema lazima(sanaa)
Tulikulaga kiapooo shida zangu mimi ndo zakooo(mamayeye)
unalalama kila kukicha natazama jua penzi langu so hasira kila muda kuzira nikufute chozi unifute chozi tulie pamoja mama kosa letu siri mioyo ya wawili tuishi milele daima