![Its Over](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/13/3a959d6d487349aaa0e4225bd53f9abe.jpg)
Its Over Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Its Over - Nedy Music
...
nedy music
it's over
lalalala
mi nilipokua single ooh!
sikuwaza mi sikuwaza
tabasamu La kishindo chako na furaha weumeshanlipoteza
kibingwa mi naona bora yaishe (yaishe)
kung'ang'ania jambo n uswahili ooh!
pengime kukupenda ndo udhahifu wangu heeiyee...
Kingo zangu mbioo ooh!
uenda washakuwahii...
pepo ishakua sio ooh!
uenda unafurahi
nakivua kiatu chako cha nibana
swez kutembea maumivu ya kujifia mi hapa na swez vumilia....
it's over
it's over
it's over
it's over
najihisi nipo karibia kifo
kwahizi adhabu na maumivu
naakila lenye mwanzo na mwisho
hata mapenz ndivo Hvyooo
kufanya hamnazo, nakat bado timamu mlifanyana mapenz mliyaona matamu mi namuachia mwenyezi siwez lipa ubaaayaa..... Kingo zangu mbioo ooh!
uenda shakuwah....ooh!
pepo ishakua sio uenda unafurah
nakivua kiatu chako cha nibana
swez kutembeea
maumivu ya kujifia mi hapana
siwez vumiliaaa
it's over
swez kujutia acha nibakie lonely
it's over
swez kujuuta
it's over bora mbakizee mazonge sweziii
it's over utumwa wa penzi siwez kabisaaaa
it's over official lyrics created by
@$aliucy melodies....