![Haula ft. Dayoo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/19/9463a645617747fb8c48aad987a6e14f_464_464.jpeg)
Haula ft. Dayoo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Haula ft. Dayoo - Nedy Music
...
Fine boy
Haula
Haula
Haah
Haula
Haula
Haah
Yani keupe , rangi ya mtume
Shombe!
Nasikia raha kikatazama tazama
Furaha niliyo nayo sijuhi nikunywe
Pombe!
Nakapenda leo mpaka kiama kiama
Mmmmh
Tukiongea na simu sitamani akate
Akate!
Kwa video call ndo yanitoka me mate
Me mate wee!
Viungo vyake laini kama mkate
Mkate
Nikizama kwa chini natamani ning’ate
Ning’ate wee
Mwenyezi atubariki
Mijumba tumiliki
Tuepukane na dhiki
Me na wee
Haula
Haula
Haah
Haula
Haula
Haah
Girl your my medicine
Haula
Haula
Haah
Mmmmh yaeeh
Haula
Haula
Haah
Yo
Naitwa mangi
Ooh lalaee
Eti amejichubua rangi shepu ya uturuki
Maneno ya mkosaji hayauwi sio bunduki
Haula
Aah mnaonaje hata mfanye tuzo nimpe Bt
Haula
Nah! Nitazipost picha zake kama tangazo IG (IG)
Aah! wanafanya mbinu zote nikuache baby ila tu najua hawawezi
Mmh Hao mandezi kwetu hawafurukuti
Yh muda wote tunajipya hatunaga weekend
Oooh ya
Na tunaogopa dhambi hatuchitig me na ye
Meeeeee
Tumeumbwa kwa raha tuishi milele
Mh we na me
Mpaka paradise
Meeeeee
Tumeumbwa kwa raha tuishi milele
Mh we na me
Mpaka paradise
Haula
Haula
Haah
Oh my medicine
Haula
Haula (haula)
Haula
Haula
Haah
Oh beib
Haula
Haula
Haah
Ah jamani
Nampenda mpenda
Nani?
Msichana mmoko
Nani?
Kwa jina simtaji
Nani?
Nampenda mpenda
Mwenzenu nampenda mpenda
Nani?
Msichana mmoko
Nani?
Kwa jina simtaji
Naogopa mtaniibia aah
Lyrics added by boeq