![Kushinda Lazima](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/26/f93483a08cbe46439bdc8a15ad547e80_464_464.jpg)
Kushinda Lazima Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Kushinda Lazima - Martha Mwaipaja
...
lyric sync by Phellow 254790511905
ooooh oooh
kushinda ni lazima....
combination sounds
mmmmh
kushinda ni lazima...
mimi nimemsikia mwenyewe
Baba akiniambia
mwanangu hata iweje iweje
kushinda ni lazima ...
nimemsikia akisema
hata iweje
kushinda ni lazima
mimi nimemsikia mwenyewe
baba akiniambia
mwanangu hata iweje iweje
kushinda ni lazima
iwe ni mvua sana
au jua kali liwake
katika yote kanihakikishia ushindi
mimi nimemsikia mwenyewe
baba akiniambia
mwanangu hata iweje iweje
kushinda ni lazima
lyric sync by Phellow 254790511905
mmmmmh
aliyeniambia ni yeye
hajawahishindwa kitu
zamani nilikuwa ninaogopa
kwa sasa siogopi
ushindi ni lazima
niliposemwa nililia
kwa sasa silii
ushindi ni lazima
nilipotishwa nilitetemeka
kwa sasa sitetemeki
ushindi ni lazima
niliposingiziwa mimi
niliogopa mimi
kwa sasa siogopi
ushindi ni lazima
aliyeniambia
yeye ni yote
katika yote
ushindi ni lazima
lyric sync by Phellow 254790511905
nimemsikia akisema
hata iweje kushinda ni lazima
mimi nimemsikia mwenyewe
baba akiniambia
mwanangu hata iweje iweje
kushinda ni lazima
ameniambia nitazame mimi mwanao
niko na wewe
ushindi ni lazima
mimi nimemsikia mwenyewe
baba akiniambia
mwanangu hata iweje iweje
kushinda ni lazima
amenihakikishia
atakayepigana nami
ameshindwa tu
ha ha ha ..halelluya
mimi nimemsikia mwenyewe
baba akiniambia
mwanangu hata iweje iweje
kushinda ni lazima
halelluya .....
lyric sync by Phellow 254790511905
mimi nimemsikia mwenyewe
baba akiniambia
mwanangu hata iweje iweje
nimeshakuinua
nimemsikia akisema
hata iweje
nimeshakubariki
hakuna wa kukataa
nilichokisema mwanangu
usiogope
ushindi ni lazima
mwenyewe nimeshakudhibitisha mwanangu
usitikisike
ushindi ni lazima
kama uko mwenyewe niambie
wa kutisha mno mwanangu
nilimtoa Danieli
ushindi ni lazima
mwanangu
mimi ndiye yule
nilivusha Wanaisraeli
ushindi ni lazima
lyric sync by Phellow 254790511905
mimi nimemsikia mwenyewe
baba akiniambia
mwanangu hata iweje iweje
kushinda ni lazima
kwa ninavyopendwa na Mungu
sitaachwa kabisa
yupo na mimi daima
kushinda ni lazima
mimi nimemsikia mwenyewe
baba akiniambia
mwanangu hata iweje iweje
kushinda ni lazima
nimemwelewa vizuri
nimemwamini vizuri
hata iweje kushinda ni lazima
mimi nimemsikia mwenyewe
baba akiniambia
mwanangu hata iweje iweje
kushinda ni lazima
lyric sync by Phellow 254790511905
halelluya iyeee