![Dozee](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/5E/FF/rBEeM1ov2dWAPJ_aAADSeWTsIeA159.jpg)
Dozee Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Dozee - Nedy Music
...
Leleleleleee
yelelelele,yelelele×2
suura inanchanganya akil yangu,
tabasam ndo unadunda moyo wng,
akikataa anavonata,kifua mbata,lipsi matata........
(Chorus)
Ni yeye tu,mwenye tamu laini akinyonya anankosha,oooo macho ananiita beki ye kipa ananogesha×2
Oooo mama....,
Doze alelelele ×4
Kwako sisemi uongooo
(wallahi)..,
Umeegama mgongo,sioni chochote kama Ay.
Wa wanaitaga msambwanda,
Ukipita moja kanga,
Nautamu kwenye shanga,
Miogo nazi karanga....,
Sitamani vya uwaniii.,
nataman vya chumbani.....,
(Chorus).........,
Asema anataka muogo nimmwagie chai,
Tunda lipo tulituli limevimba ka papai...,
Apendi simama wima katu ka masai....,
Nikimbana kwa kona analia anafurahiiiii...,
{Ale (sakata×5)rumba}×2