![Msitu Wa Ajabu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/59/BA/rBEeNFonyRmAWAlpAAEadX8m5-M831.jpg)
Msitu Wa Ajabu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Msitu Wa Ajabu - Mbiu SDA Choir
...
Msitu wa ajabu, uliwaka bila kuungua
Sauti ilisikika, ajabu kabisa
Hapo mahali ulipo, ni mahali pa takatifu pako
Ewe Musa vua viatu, nataka niseme nawe×2
Uwezo wake wa tosha, kubadilisha mapungufu yetu
Mungu anapokuwa kati yetu
tutatenda mambo mengi ya ajabu
Tazama kichwa cha kawaida, (kikageuka)kikawa ni msitu wa ajabu
Acha moto uwake ndani yako
kama msitu wa ajabu,
Nasikia vilio, watu wangu kule misri walia
Nenda uwatoe huko, wakapumzike
Ondoa shaka moyoni,nitakuwa nawe utakapo kwenda,
Tumia fimbo kama nguzo kuwa chunga watu wangu ×2
repeat chorus
Ulimi ni mzito, nitazungumza vipi na farao,
Awatoe utumwani, waende canani
Mungu alimweleza,usifikirie useme nn
Agizo langu linatosha, enenda na hutashindwa.