- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
ESTA - THE LIGHTBEARERS TZ
...
Hamani aliandika waraka kwa wayahudi waraka uliwafanya wayahudi waogope Esta malkia aliposikia (aah..) kamwambia mfalme (eeh..) ukiona vyema twaweza andaa karamu kubwa sana mfalme Ahasuero akamkubalia lengo lake Esta apate kumwambia habari Esta ooh Esta malkia Esta ooh Esta malkia Esta nenda umwambie mfalme habari za adui Hamani kutaka kuwaangamiza tena kimbia mbio usichelewe kusema maana adui (maana aah..) amekwisha andaa (andaa..) vikosi na farasi vya kuwakimbilia awaangamize ni nani aliyekutangazia habari za kushindwa kwako na kutokusonga mbele umetangaziwa laana yule amekuvunja moyo na umekata tamaa hauwezi tena kuendelea maana adui ame-karibia usiinue mguu wako kukimbia kuna tangazo la Mungu kwa maadui zako atakulinda wasikuangamize watesi wako hatauruhusu upanga kwa maadui zako hakuna sababu ya kuogopa jemedari Yesu ametangulia mbele yako utavuka salama ... ni nani aliyekutangazia habari za kushindwa kwako na kutokusonga mbele umetangaziwa laana yule amekuvunja moyo na umekata tamaa hauwezi tena kuendelea maana adui ame-karibia usiinue mguu wako kukimbia kuna tangazo la Mungu kwa maadui zako atakulinda wasikuangamize watesi wako hatauruhusu upanga kwa maadui zako hakuna sababu ya kuogopa jemedari Yesu ametangulia mbele yako utavuka salama
Similar Songs
More from THE LIGHTBEARERS TZ
Listen to THE LIGHTBEARERS TZ ESTA MP3 song. ESTA song from album ESTA is released in 2023. The duration of song is 00:04:03. The song is sung by THE LIGHTBEARERS TZ.
Related Tags: ESTA, ESTA song, ESTA MP3 song, ESTA MP3, download ESTA song, ESTA song, ESTA ESTA song, ESTA song by THE LIGHTBEARERS TZ, ESTA song download, download ESTA MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
yohaza
Elias simion 60x
Good job
Come on