![Yesu Anakuja](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/59/BA/rBEeNFonyRmAWAlpAAEadX8m5-M831.jpg)
Yesu Anakuja Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Yesu Anakuja - Mbiu SDA Choir
...
Yesu anakuja uwe tayari
Atarudi akiwa mfalme
Pamoja nalo jeshi la binguni
Uwe tayari kumlaki mwokozi
Hata wale waliomchoma wataona utukufu wake
Akishuka kuhukumu dunia ni mwisho wa ulimwengu
Yesu anakuja uwe tayari
Atarudi akiwa mfalme
Pamoja nalo jeshi la binguni
Uwe tayari kumlaki mwokozi
Hata wale waliomchoma wataona utukufu wake
Akishuka kuhukumu dunia ni mwisho wa ulimwengu
dunia sasa inashangaza
wengine hawajui wafanye nini Kila kunapokuja
Ni vitisho na vilio , lakini habari njema kwako unapoyaona haya yote Ni mwisho sasa wa karibia uangaze macho juu
Yesu anakuja uwe tayari
Atarudi akiwa mfalme
Pamoja nalo jeshi la binguni
Uwe tayari kumlaki mwokozi
Hata wale waliomchoma wataona utukufu wake
Akishuka kuhukumu dunia ni mwisho wa ulimwengu
Yesu anakuja uwe tayari
Atarudi akiwa mfalme
Pamoja nalo jeshi la binguni
Uwe tayari kumlaki mwokozi
Hata wale waliomchoma wataona utukufu wake
Akishuka kuhukumu dunia ni mwisho wa ulimwengu
Mungu awalinde watu wake wasije angamia
Akiwatuma malaika wanne washikilie dunia
Machafuko yasije wadhuru , kutoka pande zote nne
Thahadhari kwenu walimwengu hukumu yaja haraka
Yesu anakuja uwe tayari
Atarudi akiwa mfalme
Pamoja nalo jeshi la binguni
Uwe tayari kumlaki mwokozi
Hata wale waliomchoma wataona utukufu wake
Akishuka kuhukumu dunia ni mwisho wa ulimwengu
Yesu anakuja uwe tayari
Atarudi akiwa mfalme
Pamoja nalo jeshi la binguni
Uwe tayari kumlaki mokozi
Hata wale waliomchoma wataona utukufu wake
Akishuka kuhukumu dunia ni mwisho wa ulimwengu