- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Ubatili - MAGENA MAIN MUSIC MINISTRY
...
,,,,,,,
Jee kuna jambo jipya chini ya jua
jua lachomoza machewo, jua lashuka machweo, mambo yamejaa uchovu ×2
kwa sababu hiyo nawaambieni msisumbukie maisha haya, mle nini mywe nini mvae nini×2
mimi mungu biri mwana wa daudi niliye mfalme katika yerusalemiii, ubatili mtupuu×4
yote duniani ni ubatilii
mimi mungu biri mwana wa daudi niliye mfalme katika yerusalemii ubatili mtupu ×4 yote duniani ni ubatiliiii
,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Nikakusanya fedha dhahabu kajenga jumba la ajabu nikajitia kwa anasa na raha za ulimwenguu, nikawa na mali kupita wotee nimetambua pia ni ubatilii×2
Sasa nimetambuaa mwanadamu hapati jenda kwa hekima na kazi zakee kwa fedha kula na kunywaaa, hayo yote nalionaa kutoka kwa mungu, hekima marifa na furaha, yote hutoka kwa munguuu
see lyrics >>Similar Songs
More from MAGENA MAIN MUSIC MINISTRY
Listen to MAGENA MAIN MUSIC MINISTRY Ubatili MP3 song. Ubatili song from album Ni Kwa Neema is released in 2019. The duration of song is 00:04:47. The song is sung by MAGENA MAIN MUSIC MINISTRY.
Related Tags: Ubatili, Ubatili song, Ubatili MP3 song, Ubatili MP3, download Ubatili song, Ubatili song, Ni Kwa Neema Ubatili song, Ubatili song by MAGENA MAIN MUSIC MINISTRY, Ubatili song download, download Ubatili MP3 song