![Nimethibitishwa ft. Bahati Bukuku](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/10/cc07af66cf8440e3a128b6dd8351bdec_464_464.jpg)
Nimethibitishwa ft. Bahati Bukuku Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimethibitishwa ft. Bahati Bukuku - Martha Mwaipaja
...
Oh, oh
....combination sounds.....
Oh, Haleluya aah
(Nimemthibitisha Yuko na mimi milele na milele)×4
Namthibitisha duniani
Rafiki wa kweli ni Mungu tu!!
Namtangaza kwa mataifa
Mpenzi wa kweli ni Baba
Kwa niliyoyapitia jana mbona mimi leo nisingekuwepo
mmmh!!
Nathibitisha kabisa bila Mungu mimi
Ningeshapotea
Nimemhakikisha kwake niko salama
Kuliko kokote
Mimi nimemthibitisha kabisa ananipenda zaidi
Ya chochote
Nimemhakikisha ametangaza ushindi kwangu daima
Oyo, yo, yo
Nimemthibitisha Yuko na mimi milele na milele
Amenitendea (Nimemthibitisha Yuko na mimi milele na milele)
Sitaogopa (Nimemthibitisha Yuko na mimi milele na milele)
Yeye ni kila kitu (Nimemthibitisha Yuko na mimi milele na milele)
Yeye anaweza!!!!
Unatamani nini mbingu ziseme
Kwa ajili yako
Unatamani nini Mungu atende
Kwa ajili yako
Ajali ile ile iliyouwa wengine ukatoka salama
Magonjwa yale yale yaliyouwa wengine
Umetoka salama
Unataka nini Mungu atende umthibitishe
Unatamani nini Mungu afanye ili umuamini
Nimemthibitisha Yuko na mimi Bwana wangu
Nimeee (Nimemthibitisha Yuko na mimi milele na milele)
Anaweza kukuhurumia (Nimemthibitisha Yuko na mimi milele na milele)
Yupoo (Nimemthibitisha Yuko na mimi milele na milele)
Anaweza kukukumbuka (Nimemthibitisha Yuko na mimi milele na milele)
Haleluya ooh! ooh!
Haleluya aaah!
......
Written by JustinAdom