Haleluya Mungu Wangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Haleluya Mungu Wangu - Rose Muhando
...
(haleluya) ..
*************
haaaaleluya Mungu wangu
mtakatifu Bwana wangu
unatosha Mungu wangu
uhimidiwe Bwana wangu
uko juu Wee mwamba wangu
mfalme wangu na Bwana wangu
unaweza Mungu wangu
wewe ndiwe mwamba wangu
jiwe la pembeni ni Bwana wangu
simba wa yuda ndiye Mungu wangu
haleluya Mungu wangu
Simba wa Yuda ni Bwana wangu
sifa na heshima kwako Wee Mungu wangu
utukufu wako baba
unatosha Mungu wangu uishi milele
*******************
glory glory glory
to Jesus
glory glory glory
in heaven
glory glory glory
forever
glory glory glory
to Jesus
glory glory glory
in heaven
glory glory glory
forever and ever
******************
Mungu Katika Yuda
umejulikana
Makao yako Mungu
Yako Sayuni
wewe simba wa Yuda
umejulikana
ulipowaseta jeshi la Washami
Wamisiri zamani walikutambua
Mwamba wa kale
Simba wa Vita
Haaaaleluya Mungu wangu uishi milele
********************
Heshima ni yako wee Bwana
utukufu ni wako rabana
Heshima ni yako Wee Bwana
utukufu ni wako rabana
nasema
glory glory glory
to Jesus
glory glory glory
in heaven
glory glory glory
forever
glory glory glory
to Jesus
glory glory glory
in heaven
glory glory glory
forever and ever
Heshima ni yako Wee Bwana
utukufu ni wako rabana
heshima ni yako we Bwana
utukufu ni wako rabana
nasema
glory glory glory
to Jesus
glory glory glory
in heaven
glory glory glory
forever
glory glory glory
to Jesus
glory glory glory
in heaven
glory glory glory
forever and ever