Mapene ft. Dayoo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mapene ft. Dayoo - Motra The Future
...
(Yap, sing, (naitwa mangi))
(ouh yeah, baba ako..Pon the ting)
Oya mapene, hawajatuzidi mapene
yaani mapene, hawajatuzidi mapene
(mafeeling records)
Mh, tena mtoto wa kimaskini nilozisaka nkazipata
Oya, shida zote kwenye dastbini, zimegeuka takataka
Najua njia nilizopiga mimi, uso fuso* za mashaka
Mh, naona maji ya dukani ndo maana sku'izi nataka ya
Kama we umezisaka na leo imezipata basi piga kelele (eeh)
Ah, unapata unachotaka yani umejipata kila siku sherehe
Oya mapene, hawajatuzidi mapene
mapene, hawajatuzidi mapene
Oya mapene, hawajatuzidi mapene
Oya mapene, hawajatuzidi mapene
(Piga makofi, piga makofi, piga makofi tafadhali)
(Piga makofi, piga makofi, piga makofi tafadhali)
Ooooh oooh, oooooooh
Oooooh, (ouh yeh) oooooooh
Kipindi na'hustle kiukweli nilisoteka, skuona faraja skuona hata wa kunikopesha
Niliona walonicheka wengine wakijitetea, leo niko na pesa naomba mniache nikivesha
Niko na fungu afu nna moyo wa kutoa, hapa ukileta Shobo hata demu wako namng'oa
Pole sana kama nitakua nakuboa, sikuwahi kuzipata leo nmezioga na kuloa
Ah, nimepiga madili dili, halafu yametiki hadi moyo umefeel feel
Staki kujipinda hata bebe ni mbili mbili
Na hawa wote waje niwachezeshe makiri kiri
Wako wapi wale marafiki walotusaidia tufanikiwe, alafu tulivyofanikiwa wakanuna
Ambao hata leo wakiambiwa stori zetu wahadithie wataanza kuhadithia kati kwenda nyuma, huku roho zinawauma
Oya mapene, hawajatuzidi mapene (say what say
mapene, hawajatuzidi mapene
Oya mapene, hawajatuzidi mapene
Oya mapene, hawajatuzidi mapene
(one for the money, two for the show, leo nina mapene mpaka shida zinablow)
(one for the money, two for the show, leo niko vizuri mpaka bebe Zina njoo)