Two Steps ft. Young Dee Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Two Steps ft. Young Dee - Motra The Future
...
Vita ya mapenzi usiingilie
Ugomvi wa mapenzi usikimbilie
Vita ya mapenzi usiingilie
Ugomvi wa mapenzi usikimbilie
I got ma two steps, I got ma two steps,
I got ma two steps, I got ma, I got ma..
Acha usiguse, acha usiguse,
acha usiguse, acha usi, acha usi..
I got ma two steps, I got ma two steps,
I got ma two steps, I got ma, I got ma..
Acha usiguse, acha usiguse,
acha usiguse, acha usi, acha usi..
Mapenzi ya kuhusiana ugomvi unabusti sana
Saivi wanatusiana, mara dada chupi hana. Alipigwa mabuti na kibuti mpaka butiama.
Kesho ni mapenzi kede kede wanabusiana
Acha kushauri sana, nyumba ya makuti ama
Sjui bwana ako nini nini inahusiana?
Hakupi matunzo kila siku ye ni kupigana, Kama sio kupigana basi tu ni kudinyana
Ustake waachane kesho utaaibika, leo hasira zinaongea kesho zitabadilika, mapenzi sio vita Kuna siku vinaisha, atakutaja kwenye faragha wakiimbisha
Wakati wanakutana hukuwepo kwa kichanja, diko limekata ni machungwa kwa kibanda
Mapenzi huwa ni Vita vinafanya yanabamba, na Vita vya makochi vinaishiaga kwa kitanda.
Vita ya mapenzi usiingilie
Ugomvi wa mapenzi usikimbilie
Vita ya mapenzi usiingilie
Ugomvi wa mapenzi usikimbilie
I got ma two steps, I got ma two steps,
I got ma two steps, I got ma, I got ma..
Acha usiguse, acha usiguse,
acha usiguse, acha usi, acha usi..
I got ma two steps, I got ma two steps,
I got ma two steps, I got ma, I got ma..
Acha usiguse, acha usiguse,
acha usiguse, acha usi, acha usi..
Asubuhi amefyum, usiku tuko room tunapiga stori
Tunapiga stori za walomletea stori, heheh nacheka mana wengine ni wanangu, sio Mwaisa sio mnene wanadoea pisi yangu
Kwani we unadhani vile we unanidiss mi atanikataa hapana no
Kwani we ni nani mpaka nikuumize kichwa, Mister, shika panado
Nimedata kwa mapenzi ka nimejifunzia kwake, kumwacha ta'siwezi kaja na virago vyake, she drive me so crazy type yake ni wachache, mngeacha tu kuongea mana mtakausha mate
Wakati wanakutana hukuwepo kwa kichanja, diko limekata ni machungwa kwa kibanda
Mapenzi huwa ni Vita vinafanya yanabamba, na Vita vya makochi vinaishiaga kwa kitanda.
Vita ya mapenzi usiingilie
Ugomvi wa mapenzi usikimbilie
Vita ya mapenzi usiingilie
Ugomvi wa mapenzi usikimbilie
I got ma two steps, I got ma two steps,
I got ma two steps, I got ma, I got ma..
Acha usiguse, acha usiguse,
acha usiguse, acha usi, acha usi..
I got ma two steps, I got ma two steps,
I got ma two steps, I got ma, I got ma..
Acha usiguse, acha usiguse,
acha usiguse, acha usi, acha usi..