The Future Is Now V-6. Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
The Future Is Now V-6. - Motra The Future
...
.....
A city
Babaako
on de ting..
..its grand master
Kuliko niongelee marapa bongo, bora niongelee malapa uongo
maana wana sound ka yule poti anayetaka hongo
hawaoni mbele chongo utadhani hawana ubongo
sijui wana mimba, mana wanasound ka wanataka udongo
vi mustachi kidogo unajiona Osama fool
wengi hamna hela na mnaona sana tu
mnaimba mapenzi kila siku kumbe drama tu
Ndo maana juzi nkawaambia mtaachana tu
kuhusu mapenzi nlimwambia sinta comment
akaniambia ili mdumu mnatakiwa muwe na content
yani lazima uchangamke kwa mwenzio ili asipokuwa akumic si unajua raha ya mapenzi moment
kipindi tuko SUA tuliokoa mtaa sa hii tukiwaza shisha
tunaokoa mkaa, ujue tulipata shida tukaondoa mzaa
mtunda yamezaa
wale mademu walikuwa hawanitaki, leo wananiita mimi toto wananipetipeti eti twende lini coco tukale mihogo sijui wananiona mimi local
waambie siuzi sura kwanza sipendagi mitoko
nyie si mliniambia mi sio size yenu
nyie ndo sahii mmechakaa hamfai menu
mmekuwa madunga yembe hamkai kwenu
ujana mle mbali uzee ndo mlete kaeni mbali hebu
hawa mama....wanaimba mataputapu alafu hawana kumi hata kwa bakubaku waogea malapu lapu wanapotea chap chap, wakiniona wanabonyea kama wanacheza shaku shaku.