Shahidi
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Shahidi - Dizasta Vina
...
Shahidi
Ah
Nilipanda kwenye jukwaa, watu walinishangaa,
Unadhifu wa meli haukufanana na nilivyovaa
Kabla sijatoa salamu, walipoteza hamu
ya kuburudika wengine wakaanza kusambaa
Nilikuwa na nywele nyingi zilionyesha pia siku ni nyingi tangu mara ya mwisho ziwekwe maji,
Wale Matajiri waliosheheni kwenye viti walicheka wakihisi mi’ chizi au mchekeshaji
Walio karibu pia wakaanza kun’tunza pesa
Na walio mbali walijaribu kurusha fedha,
see lyrics >>Similar Songs
More from Dizasta Vina
Listen to Dizasta Vina Shahidi MP3 song. Shahidi song from album Shahidi is released in 2022. The duration of song is 00:06:38. The song is sung by Dizasta Vina.
Related Tags: Shahidi, Shahidi song, Shahidi MP3 song, Shahidi MP3, download Shahidi song, Shahidi song, Shahidi Shahidi song, Shahidi song by Dizasta Vina, Shahidi song download, download Shahidi MP3 song
Comments (52)
Top Comments (5)
ZiO Drop®
salva_maestro10
mm narudia tena narudia tenaa narudia jamaniiii dizasta dizasta dizasta ni best hip hop artist wa muda ote kwangu>
Shadrack Edyuty
Prof tungo >
New Comments(52)
SirilKiwory
Shahidi wa Tanzania yangu
Filbert FxZeR
ResPecT The Name ## Vina
Ayub Mwashitete
dizasta
dayana2xent
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63b][0x1f63b]
dayana2xent
bbroo isee unatixha hat iwaje hawawez fika wew n king of hip pop
Mweus!
Dizasta [0x1f60d][0x1f60d][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63b][0x1f63b][0x1f63f][0x1f63f][0x1f621][0x1f621]
Samuel 1m7t2
dizasta leads other follow
shafii nampwe
[0x1f636]
Fyizo pop
oi bro ur the best forevef[0x1f603][0x1f627]
ADAMUf7cbc
⛑️
HIRCAN
akamatwe aojiwe [0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d]
Ramadhanisaid
Unajua Dizasta we ni[0x1f63b][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]>