- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Sister - Dizasta Vina
...
mawazo yamezidi kwenye ndonga
nawaza sana na sasa imebidi tu kubonga
mwanafasihi kwenye fasihi na hoja
kuhusu sister angu mother mmoja dingi mmoja
kwa wazazi tulizaliwa wawili
dingi alikufa mother alitulea kwa maadili
nyuma ya mimi na sister Kuna siri
siri ambayo hata moyo umeshindwa kuikabiri
tangu watoto mpka sasa tumekua
mambo mengi ya huu ulimwengu tumejua
see lyrics >>Similar Songs
More from Dizasta Vina
Listen to Dizasta Vina Sister MP3 song. Sister song from album Jesusta is released in 2021. The duration of song is 00:04:17. The song is sung by Dizasta Vina.
Related Tags: Sister, Sister song, Sister MP3 song, Sister MP3, download Sister song, Sister song, Jesusta Sister song, Sister song by Dizasta Vina, Sister song download, download Sister MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Atuganile Mwamagemo
Mariki Wanka
eeebwan weee mwamb umetisha
ofsa kibega
vina
stopa sela
0laaaaa
nakubali