Hautaki Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Hautaki - Motra The Future
...
Gigi mamba on the beat
Ndoto zako zilikua kuzaliwa ulaya
Umezaliwa nchi hautaki
baba hautaki na mama hautaki
hata Kaka na dada zako wote hauwataki
Maana wanamaisha ambayo wewe hautaki
umezungukwa na majirani ambao hautaki
Ghafla unaanza kukua Ile life hautaki
Unajikuta unapelekwa shule Ile hautaki
unapata marafiki wale wenye hautaki
Walim na masomo ni wale hautaki
Ile shule ni Ile hautaki
Na walim hautaki
inakupea division ambayo wewe hautaki
Unapata hasira ambayo wewe hautaki
Uwaza kujiajili unakuta wewe hautaki
Kisha unaajiliwa kazi ambayo hautaki
Nayo inakulipa mshahara ambao hautaki
Kazin nako mbali na kutembea nako hautaki
Unajikuta umeenda kununua gar ambalo hautaki
Kila siku ni matengenezo na kupaki
linakurudisha nyuma kule kule hautaki
Unajisikia upweke naww usingle hautaki
na hiyo sura mbaya unapata mpenzi hautaki
ukijua ni one time life time hautaki
Unasikia kashika mimba naww ndio kile hautaki
Unajikuta tu unafamilia hautaki
wanaingilia Kati wale ndugu hautaki
Wanakufungisha ndoa na ule demu hautaki
Mapenzi kede kede hatakama hautaki
Unatoa machozi na Julia hautaki
then kuishi life hautaki
unaweza kujiona big vile life inakuf*
au ndio Ile umezeeka na kustafu hautaki
Unapata kiinua mgogo ambacho hautaki
unapata stress unaugua magonjwa mabayo hautaki
Huna bima unapelekwa hospitali hautaki
Unaanza poteza tumaini na ndio kitu hautaki
Ghafla anakuja islael naww kufa hautaki
unajikuta unaokoka na ulikua hautaki
unamrudia mungu nae mungu hakutaki
Sema anakusamehe maana amesha kuona waki
maana amekupa uhai ulivyo fala hautaki
familia wanakuulumia wakiumia hautaki
Ndugu wakajikusanya wakuchangie hautaki
faraja hautaki
mapenzi hautaki
japo hela umepokea na ulisema hautaki
Mwanao amekua akajitegemee wewe hautaki
na wakat akikaa tu nyumban napo hautaki
Kumbe mshenga alikuja aolewe hautaki
Et unataka hela kubwa mahar ndogo hautaki
Mtoto Hadi akalia na akilia hautaki
unambembeleza anyamanze na akicheka hautaki
nakila anacho taka yeye akisema hakutaki
Kubali una roho mbaya au nayo hautaki
na hata nikiuliza kwann Kila kitu hautaki
wewe mwenyewe haujui kwann hautaki
tukikuambia umetogwa wewe kusikia hautaki
na hata maswal yangu unadai hakutaki
hautaki tu kuongea hauhisikii hautaki
Nimekuambia kuwa mchawi nao uchawi hautaki
Basi mm naondoka nikikaa si hautaki
chaajabu nakuaga na hiyo bye hautaki
ooooh yeah
babaaako
amount
Added by
Prince wa kigoma