Masihara ft. Shetta & Damian Soul Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Masihara ft. Shetta & Damian Soul - Motra The Future
...
Wachawi ni baadhi ya masela tunao chill nao, Fake niggers masnitch wakachill kwao, Ambao hawafell pain yako hata uki fell yao , Wanaong'ang'ani u dingi na hawapig bao, Maisha sio dini twapambana tu na uchumi , watoto walileta nyodo tu kupambana na uhuni ,